Followers

Like here

Popular Posts

Jun 30, 2013

NAFASI MPYA ZA KAZI TANZANIA.

NAFASI MPYA ZA KAZI TANZANIA MPAKA JULAI 25


SENIOR  LECTURER / LECTURER
Qualifications: PhD in Hydrology,

PROFESSOR/ASSOCIATE  PROFESSOR
Qualifications: PhD and Master’s in Hydraulics,Computational Fluid Mechanics/Dynamics/Hydrological Modeling /Water Resources/Soil

PROFESSOR/ASSOCIATE  PROFESSOR / SENIOR LECTURER/LECTURER/ ASSISTANT  LECTURER
Qualifications: PhD and Master’s in Biostastics,Master’s in Biostastics

PROFESSOR/ASSOCIATE  PROFESSOR / SENIOR LECTURER/LECTURER/ ASSISTANT LECTURER- 2 POSTS
Qualifications: PhD and Master’s in Conservation Biology,Analytical Organic Chemistry,Master’s in Conservation Biology/Analytical

PROFESSOR/ASSOCIATE  PROFESSOR / SENIOR LECTURER
Qualifications: PhD and Master’s in food Chemistry,first degree in Chemistry of Food Sciences
Bofya juu.NAFASI MPYA ZA KAZI SERIKALINI

On behalf of Capital Development Authority(CDA), Tanzania Industrial Research and Development Organization (TIRDO), The e-Government Agency (eGA), Marine Parks and Reserves Authority, Tanzania Investment Centre, Tanzania Food and Nutrition Centre, Tanzania Electrical, Mechanical and Electronics Services Agency (TEMESA), College of African Wildlife Management – Mweka, Tanzania Automotive Technology Centre (TATC), National Museum of Tanzania, Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), Institute of Social Work (ISW) and Tanzania Tobacco Board (TTB) the Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 36 vacant post in the above public institutions.
Bofya Juu hapo.NAFASI MBALIMBALI MPYA ZA KAZI MPAKA JULAI 2013


CONSULTANCY SERVICE FOR BUILDING DESIGNING
Requirement: Eligible Suppliers and contractors

BUILDINGS AND MAINTENANCE
Requirement: Eligible Suppliers and contractors

PROVISION OF SERVICES FOR
COMPUTER AND ELECTRONIC EQUIPMENTS
Requirement: Eligible Suppliers and contractors

SERVICES OF AIR CONDITIONERS
Requirement: Eligible Suppliers and contractors


Bofya juu.


NAFASI ZA KAZI MCL

MWANANCHI VACANCIES

Mwananchi Communications Limited, the publishers of leading Tanzania newspapers, Mwananchi, Mwananchi Jumapili, Mwanaspoti, The Citizen and Sunday Citizen are looking for motivated and highly experienced individuals to fill the positions of:

FOREIGN EDITOR (One Post) – The Citizen

Main Responsibilities:
Select foreign stories and pictures from News Agencies and correspondents with national and regional considerations in mind.
Review foreign stories with other editors in the editorial conferences for the next day’s publication.

Bofya juu!

NAFASI MPYA ZA KAZI (TPDC)

Tanzania Petroleum Development Corporation (TPDC) is a National Oil Company dealing with oil and gas exploration, development and production. The company is based in Dar- Es –Salaam. The Corporation has open vacancies for professional Tanzanians in the following disciplines:-

Bofya juu!Like facebook page

HII NDIYO HELCOPTA ITAKAYO TUMIWA NA RAISI OBAMA LEO

Inatambulika kama Marine one, hapa ikiwa chini na structure mzima ya ulinzi kama unavyo iona.

Hapa Marine one ikiwa angani mitaa ya Johannesburg South Africa Jana
Wakati huohuo Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam ametoa Rai na kueleza njia zitakazo Fungwa wakati Obama anatembea Dar es Salaam ni kama ifuatavyo.

Mkuu wa mkoa Mecky Sadick ameelezea maeneo yote ambayo atapita.j4 safar ya obama kutoka ikulu kwenda ubaloz wa marekan then atapita mpaka mwenge then ubungo kwenye ufunguz wa mtambo wa power africa symbion wakat huo barabara zote zitafungwa mpaka saa tano asubuhi mgen atakapokua ameondoka.Haitakiw kupaki gari lolote pemben ya barabara hata malori yametakiwa kuwa mbali kabisa.Hakuna taarifa yoyote km kuna watu/vifund fulan vitaandamana so ni bora wafanye shughuri nyingine kuliko kuandamana.Wakat anaingia hapo symbion haitakiwi kuonekana gari lolote hata pale daladala terminal kuwe peupe.Kova amesisitiza sn UTII WA SHERIA BILA SHURUTI na ameomba km utapata tetesi zozote kwa kundi fulan au mtu ana lengo baya ni vyema ukatoa taarifa..

Peruzzi na Mimi.

Jun 20, 2013

SHINDANO LA BSS/ BONGO STAR SEARCH LIMEZINDULIWA RASMILile shindano la kusaka vipaji vya kuimba Tanzania linalojulikana kama Bongo Star Search (BSS) siku ya jana June 19 limezindua rasmi msimu wake mpya … Likiwa na kauli mbiu mpya safari hii ya “KAMUA” shindano hilo litaanza usaili ambao utafanyika katika mikoa mitano ambayo ni Dodoma, Mbeya, Arusha, Mwanza, Dar Es Salaam pamoja na kisiwani Zanzibar …
Ratiba kamili ya usaili huo unatarajia kuanza katika mkoa wa Dodoma tarehe 29 – 30 June, katika ukumbi wa Maisha Club, ikifuatiwa na Zanzibar tarehe 5 – 6 July katika hoteli ya Bwawani. Mbeya usaili utakuwa tarehe 10 – 11 July pale Club Vibes.

Mwanza itafuata tarehe 14 – 15 July Club Fussion. Arusha itakuwa tarehe 20 – 21 July Club Tripple A, ikimalizikia na Dar es Salaam tarehe 26 – 28 mwezi ujao ndani ya Uwanja wa Taifa.
Mshindi wa shindano hili, safari hii anatarajia kujishindia kiasi cha Shilingi za kitanzania Millioni 50 pamoja na mkataba wa kurekodi …


Peruzzi na Mimi.

Mwanafunzi wa Chuo mwaka wa Nne UDSM Apigwa Risasi na Watu wanaosadikiwa kuwa ni Majambazi

Wanafunzi Wa chuo kikuu udsm waliokuwa wakijisomea kwa maandalizi ya mitihani ya mwisho wamevamiwa na kuporwa vitu vyote zikiwemo laptop 3 na mmoja wao kupigwa risasi na kukimbizwa hospitali.
Mgogoro mkubwa Ni kwa polisi Wa chuo(auxiliary) ambao hawakuonyesha ushirikiano katika kuwasaka wezi..
Matukio haya yamekuwa yakijitokea Mara kwa Mara chuoni hapa.


Peruzzi na Mimi.

Jun 19, 2013

Lundenga amtimua Miss jukwaani kwa kuonesha maeneo yake Ya siri

MWENYEKITI wa Kamati ya Mashindano ya Miss Tanzania, Hashimu Lundenga Jumamosi iliyopita alimtimua mshiriki wa shindano la Redd’s Miss Morogoro 2013, Saphina Chumba (20) jukwaani wakati shindano hilo lilipokuwa likiendelea.
Tukio hilo lilitokea Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Hoteli ya Kitalii ya Nashera mjini hapa wakati mrembo huyo alipokuwa akiwania kuvaa taji la mkoa huo.
Kisa cha mrembo huyo aliyevalia namba 5 kutimuliwa ni kukiuka maadili na kanuni za mashindano hayo kwa kuvaa nusu utupu mbele ya mgeni rasmi ambaye alikuwa Mbunge wa Kilosa, Mustapha Mkulo na mbele ya Kamati nzima ya Miss Tanzania.
Baada ya kuona jinsi alivyovaa, Lundenga na kamati yake walikubaliana kumtimua mshiriki huyo kwa kumwita Jaji Mkuu wa shindano, Alex Niktasi na kumtaka amuondoe harakaPeruzzi na Mimi.
Loading...